MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........12

MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........12

Story......................MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........12 Whatsapp..............0613083801 ilipoishia sehemu iliyopita........ Alivyotokeza mbele ya umati karibu kila mtu alishangaa kuona tabasamu la mwanadada Angelina na utembeaji wake wa kitofauti uliwafanya wote ukumbini kukaa kimya...... ENDELEA NAYO..... Tabasamu la mwanadada Angelina na utembeaji wake wa kitofauti uliwafanya watu wote ukumbini kukaa kimya. Stewart alimtazama mwanadada Angelina na kujikuta akibaki mdomo wazi na kusahau kama amekaa na wazazi wake karibu, "Wewe mtoto mbona mpaka unatuchaganya sisi tupo hapa kumshangilia Diana na sio hawa wengine?",Mama yake aliongea baada ya kumuona mwanae akimtazama Angelina, akili za stewart zilikuwa kwa Angelina aliyevutiwa na tabasamu lake na kile alichokuwa

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...