
Story......................MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........11 Whatsapp..............0613083801 ilipoishia...... Hii ilimaanisha kuwa ameapa kuwa mshindani na sio msindikizaji kwa wenzake kauli aliyozungumza ilimfurahisha sana mwanamama katalina... ENDELEA NAYO.... Baada ya Angelina kuamua kutokukata tamaa na kuipambania nafasi ya kuwa Miss Tanzania mambo yalibadilika kwani alianza kuonyesha ushindani wa hali ya juu na ata baadhi ya washirika wenzake walianza kuona mabadiliko kutoka kwake hali iliyowafanya wasahau ata lile tukio la kuanguka na video yake kusambaa, huku Albert akimuahidi Mary kuwa lazima awe Miss Tanzania. Siku nazo zilisogea sasa zilibaki siku mbili tu kwa ajili ya mashindano kufanyika. Makampuni mbalimbali ya mavazi na wafanyabiashara wakubwa
No comments:
Post a Comment