
Story......................MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........10 Whatsapp..............0613083801 ilipoishia...... Baada ya simu kukatwa Mwanamama Katalina aliamua kunyenyuka kwenye kiti alichokuwa amekaa na kwenda kwenye gari lake tena akiliondoa kwa kasi na haikufahamika ni wapi anapoelekea........ ENDELEA NAYO.. Mwanamama katalina alienda moja kwa moja mpaka nyumbani kwa mwanadada Angelina,na aliwakuta wakimbebeleza binti Anjelina aliyegoma kabisa kurudi kufanya kazi kwenye kampuni ya FNF, "Anjelina unajua ni kipi kilichonileta hapa?",mwanamama katalina aliuliza baada ya kufika. "Hapana mama sijui",Angelina alijibu kwa unyenyekevu wa hali ya juu. "Kesho jitajidi sana uje kuna zawadi imeandaliwa kwa ajili yako na kampuni tuliloingia nalo mkataba wa nyie kuvaa viatu vinavyotengenezwa na
No comments:
Post a Comment