MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........09

MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........09

Story......................MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........09 Whatsapp..............0613083801 ilipoishia........ Kabra hajawafikia alishika simu yake na kuanza kutabasamu kwa kile alichokiona kwenye simu aliwasogelea huku akiwa anakitu cha kuongea kwa Angelina.......... ENDELEA NAYO..... Albert alifika maeneo yale na kumuangalia Angelina kwa dharau, "Diana unaongea na mtu atakayeenda kulitia taifa kwanye aibu mda sio mrefu, kwakuwa ulikuwa hujui ngoja nikuonyeshe yani tukio ulilolifanya leo ndani ya mda mfupi tu video yako imesambaa mitandaoni na hongera kwa hilo umekuwa superstar gafra tu",Albert aliongea baada ya kufika pale. Angelina hakuamini ikabidi achukue simu yake nakuangalia ni kweli karibu kila mtandao wa kijamii habari zilikuwa ni za yeye

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...