
Story......................MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........08 Whatsapp..............0613083801 ilipoishia....... "Mara zote nilikuwa naitafuta hii nafasi ya kuongea vizuri na wewe baba angu uniambie kuhusu mama yangu mzazi yupo wapi?... ENDELEA NAYO.... "Ni story ndefu sana binti yangu na siwezi kukwambia kwa leo ila unatakiwa ujue jina la mama yako mzazi ni Beatrice", Mr.James aliingia ndani baada ya kumtajia jina la mama yake mzazi binti yake pasipo kumweleza kiundani zaidi. "Baba mbona ameniambia jina la mama angu na kuniacha njia panda",Diana aliongea huku akimfata baba yake aliyeelekea ndani ili amuulize vizuri lakini hakuambulia chochote kile zaidi ya kuambiwa asubiri mda mwafaka utakapofika . "Ni
No comments:
Post a Comment