MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........07

MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........07

Story......................MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........07 Whatsapp..............0613083801 Ilipoishia....... "Unaweza kuniambia ni kwanini unamchukia sana yule binti",swali la Mwanamama katalina lilimfanya Albert ajutie kile alichokiuliza...... ENDELEA NAYO..... Swali la Mwanamama katalina lilimfanya Albert ajutie kile alichokiuliza. "Mama mimi yule simwamini tu na sio kwamba ety namchukia hapana simwamini kabisa yule binti",Albert aliongea. "wewe humwamini ila mimi namwamini na ninampenda kama mwanangu na pia kumbuka yule ni mtoto wa rafiki yangu namchukulia kama mwanangu na kilichonivutia zaidi na kunifanya nimpe nafasi ya kushiriki ni kuwa yule binti ni mzuri sana sio kisura tu ata kitabia yupo tofauti na wengine na mabinti kama hao ni

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...