
Story......................MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........06 Whatsapp..............0613083801 ilipoishia........... Alikutana na sura ngeni na hakuwahi kuiona hapo kabra. "Naomba unifate",Mary aliongea pasipo ata kumpa nafasi Albert ya kuongea... ENDELEA NAYO..... Albert aliamua kumfata ili ajue ni kitu gani kilichomfanya amwite, Mary alifika sehemu isiyokuwa na watu akasimama na mda huohuo albert nae aliwasili, "Wewe ni nani?, na kwanini umeniita huku?",Albert alimuuliza, lakini Mary alimsogelea karibu zaidi, "Nimesogea karibu yako ili nikupe siri ambayo ni mhimu kwako na kwa mama yako mzazi",Mary aliongea. "Mama yangu mazazi!!" "Nisikilize kwa umakini kuna tarifa nilizozipata za chini ya kapeti kuwa kuna watu wamepanga kumfanyia kitu kibaya mama yako
No comments:
Post a Comment