MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........05

MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........05

Story......................MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........05 Whatsapp..............0613083801 Ilipoishia....... Kutokana na mazingira kuwa mageni kwa Angelina alijikuta akiwa bize kushangaa kuliko kuangalia mbele anakoelekea bahati mbaya aligogana na mtu mtu aliyekuwa mbele yake na kuanguka chini...... ENDELEA NAYO...... Ulikuwa ni mgogano uliompeleka mpaka chini Angelina na alinyenyua uso wake kumtazama mtu aliyegongana nae, "Nilijua tu, mtu kama wewe hufai kufanya kazi kwenye hili kampuni sijui umempa nini mama mpaka akakupatia iyo nafasi", alikuwa ni Albert aliyegongana na Angelina na kumfanya mwanadada huyo kuanguka. "Samahani ilikuwa ni bahati mbaya kaka angu sikuzamilia kabisa", Angelina alijibu kwa upole. "Emu nyenyuka huko unitokee hapa", Albert aliongea

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...