MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........03

MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........03

Story......................MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........03 Whatsapp..............0613083801 ilipoishia sehemu iliyopita....... Albert bira kujali kama yupo barabarani na barabara sio yake peke yake aligeuza gari pasipo kutazama vizuri ili........ ENDELEA NAYO...... Albert bira kujali kama yupo barabarani na barabara sio yake peke yake aligeuza gari pasipo kutazama vizuri, ilibaki kidogo tu apate ajari na bahati ikawa upande wake mana mtu aliyekuwa anaendesha gari lililotaka kuigonga gari alikuwa akiendesha kwenye mwendo wa kawaida na alipoona gari ya mbele yake imegeuza ilimlazimu kusimamisha gari yake ili asisababishe ajari, "Wewe jamaa vipi hujui sheria za barabarani wewe",aliongea kwa sauti juu akimwambia Albert lakini aliyekuwa akiongea nae

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...