
Story......................MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........02 Whatsapp.............0613083801 ilipoishia......... "Unaakili wewe, unashindwaje kuwa makini mpaka unachafua watu?",aliongea kwa sauti ya juu iliyomfanya ata boss wa mgahawa ule asogee kuangalia tatizo Nini?......... ENDELEA NAYO..... Baada ya kupigwa Kofi na Diana,Angelina nae hakutaka kuwa mnyonge alimpiga kofi Diana lililomuangusha mpaka chini, Albert alisogea alipokuwa ameanguka Diana na kumnyenyua kisha akamtazama usoni alipopigwa na Angelina nakumwambia Diana, "Diana,haina haja ya kuendelea kupigana na watu waliojaa shida naomba tuondoke eneo hili usije ukapoteza sifa yako bure na ukumbuke wewe upo kwenye kinyanganyilo cha kuwa Miss Tanzania, emu tuondoke", Albert alimchukua Diana na kuondoka nae lakini alimkata jicho
No comments:
Post a Comment