MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........01

MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........01

Story......................MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........01 Whatsapp..............0613083801 Anza nayo... Tarehe husika ya usajili ilitangazwa kwa wadada wote wenye sifa  ya kuweza kushindana kwenye mashindano ya  Miss Tanzania au wengine hupenda kuita mrembo wa taifa,wadada mbalimbali na warembo waliwasili katika kampuni ya FNF iliyopewa haki ya kusimamia mashindano hayo ndani ya mwaka huo husika,si wenye rangi nyeusi, weupe na ata wenye mwonekano wa maji  kunde wote walionekana ndani ya kampuni hiyo  kwa ajili ya kujisajili. Kulikuwa na wadada wa kutosha na karibu kila mtu aliamini ataweza kunyakua taji hilo ndani ya mwaka huo. Nje ya jengo la FNF kuna magari mawili ya kifahali yanawasili

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...