KWANINI MTU MWENYE MOYO WA UPENDO, HURUMA,KUJALI HUWA ANATESEKA SANA KWENYE MAHUSIANO?

KWANINI MTU MWENYE MOYO WA UPENDO, HURUMA,KUJALI HUWA ANATESEKA SANA KWENYE MAHUSIANO?

KWANINI MTU MWENYE MOYO WA UPENDO, HURUMA,KUJALI HUWA ANATESEKA SANA KWENYE MAHUSIANO? Katika huu ulimwengu maisha yapo tofauti kabisa na hadithi ambazo huwa tunasimuliwa. Watu ambao huumizwa Sana iwe kwenye mahusiano, kazini,katika jamii n.k huwa ni wale watu ambao huwa wenye moyo wa huruma,kujali, unyenyekevu, kusamehe. Kwanini mtu ambaye ni mwema sana huwa anaumizwa sana? Kuna sababu hapa chini Kwanini mtu mwenye kiburi, jeuri, majivuno, ujuaji, misimamo mikali sana, ubishi, ukorofi,uchoyo huwa anachagua mwenza ,au rafiki mpole sana , mwenye huruma kupitiliza,kujali, uvumilivu, mwenye moyo wa kusaidia sana,mtu ambaye hawezi kusema neno "Hapana" akiombwa kitu chochote? Jibu lake ni -Kutaka

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...