.jpg)
MCHEZA CINEMA 04 ??. ENDELEA.......... Waliv...aa haraka na baada ya kumaliza Lawi alishusha kioo cha gari. "Mbona mnati...ana barabarani!?" Afande aliwauliza. "Dah, afande nilipitiwa tu ndugu yangu!" "Ulipitiwa?, ukisababisha ajali je!?, kwanza huoni kama umepaki gari yako karibu kabisa na barabara!?" Lawi alikubali kweli kakosea hivyo Afande aliomba chake na uzuri alikuwa na pesa aliyoiandaa kwa out ya siku hiyo, yote iliishia kwa Afande na kiasi kilichobaki aliona bora aelekee na binti wa kazi ges..t wakadinyane vizuri. Walifika na huko ndiyo walijiachia kabisa, Zena alionesha umalidadi wake mpaka Lawi akamdharau mkewe na kuona hafikii ufu...ndi wa binti yao wa kazi.
No comments:
Post a Comment