.jpg)
MCHEZA CINEMA 03 ENDELEA....... "Umetoa wapi pesa za kununua gari la gharama kama hili!?" "Punguza kelele mme wangu kwanza ulitakiwa kufurahi mimi kumiliki gari la gharama kama hili sio kupayuka na kupiga makelele hovyo!" Mmewe aliishiwa pozi, haikumwingia akilini kabisa Zara kumiliki gari kama lile kwa kutegemea pesa anazolipwa kwenye kampuni anayofanyia kazi, isingewezekana kamwe. "Mpaka uniambie ni wapi ulipozitoa pesa za kununua hili gari!" "Nimempiga mzinga boss na pesa nilizozipata ndiyo nimetumia kununua hili gari!" "Umempiga mzinga kiaje, sikuelewi!" "Utanichosha sasa na maswali yako, sehemu tulipoenda kufanya kazi kuna mamilioni ya pesa tumeyapata kwa kumzunguka boss wetu mimi na
No comments:
Post a Comment