MCHEZA CINEMA 02

MCHEZA CINEMA 02

MCHEZA CINEMA 02 ??. ENDELEA........... Siku tatu zilipita na Zara alikuwa mtu wa ndani tu na kila alipokuwa akiulizwa na mmewe kwanini haendi kazini alimjibu analikizo ya siku kadhaa, siku hiyo akiwa amekaa zake sebleni huku binti wa kazi akiendelea na kazi za hapa na pale alitumiwa ujumbe kwenye email yake na kuufungua. "Ooooh yes!" Zara alishangilia kwa furaha mpaka mfanyakazi wake akamshangaa. "Kuna nini boss!?" "Wewe endelea na kazi zako ya kwangu huku hayakuhusu!" Alimjibu na kuusoma ujumbe aliotumiwa zaidi ya mara moja, Zara aliona ndoto yake inaenda kutimia ya kuwa mcheza picha za ngo...n mkubwa atakayekuwa akilipwa mamillion

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...