.jpg)
MCHEZA CINEMA 01 ??. SONGA NAYOOO.......... "Jaribu kumpigia simu kama anapatikana!" Alichukua tena simu yake na kupiga lakini wapi, simu ilikuwa haipatikani kabisa na aliitupa kwenye kochi kwa hasira. "Kazi mpaka ya saa 5 usiku!?, hajui kama leo ni siku yake ya kuzaliwa au!?" "Pole boss, dada atakuwa njiani anakuja!" Alikaa kwenye kochi na kuitazama keki iliyokuwa imeandikwa "Happybirthday Zara" Upande wa Zara alikuwa ndani ya chumba kikubwa pamoja na watu 7, wanawake walikuwa wawili na wanaume walikuwa 6. "Camera zote zipo tayari ni nyie tu!" "Poa poa!, mimi naanza na huyu mrembo!" "Fresh haina noma, dakika 10 tu jamaa
No comments:
Post a Comment