MAPENZI NDANI YA GEREZA (21) FINAL ??

MAPENZI NDANI YA GEREZA (21) FINAL ??

Story………………..MAPENZI NDANI YA GEREZA (21) FINAL ?? WhatsApp……...0613083801 Umri………………..18+ Asante kwa kufatilia story hii, tafadhali soma sehemu iliyopita ili ufurahie hii sehemu zaidi….. ENDELEA...... Baada ya kufila selo karibu kila mfungwa alitamani kujua kile nilichoambiwa akiwemo Asha. "Hawajaniambia chochote zaidi ya kunirudisha tu selo" niliongea kwa sauti na kila mfungwa alisikia. "Kuwa makini hiyo mimba yako inaweza kutolewa mda wowote ule" Monica aliyekuwa kimya aliongea kama kunishauri na maneno yake niliyaweka kichwani. "Bora mwenzetu utapata mtoto, siku na mimi akijerengesha Afande wa kiume tampanulia na nitahakikisha ananitia mimba kabisa" mfungwa mwenzetu alizungumza. Siku iliyofata nilishangaa wakati wa kula nikiitwa nakupatiwa

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...