MAPENZI NDANI YA GEREZA (16) ?? Umri………………..18+

MAPENZI NDANI YA GEREZA (16) ??  Umri………………..18+

Story………………..MAPENZI NDANI YA GEREZA (16) ?? WhatsApp……...0613083801 Umri………………..18+ Asante kwa kufatilia story hii, tafadhali soma sehemu iliyopita ili ufurahie hii sehemu zaidi….. ENDELEA...... "Mnajifanya wajanja!, huyu mmoja wenu ataenda kutuambia ukweli" Afande aliongea na kumnyenyua mfungwa mmoja wetu aliyekuwa amekaa karibu naye na kuanza kumvuta. "Afande mimi unanionea tu sihusikii!" "Najua ila utaenda kutuambia kila kitu!" Afande alizungumza na kumtoa mpaka nje. Hatukujua kilichoendelea huko ila baada ya mda walifika maafande zaidi ya watatu na kuondoka na Tabu. Nilimtazama Asha aliyekuwa akiwaangalia asikari waliokuwa wakiondoka na Tabu, Asha alitamani awazuie ila ndiyo hivyo hakuwa na uwezo huo. Tangu siku hiyo

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...