
Story………………..MAPENZI NDANI YA GEREZA (15) ?? WhatsApp……...0613083801 Umri………………..18+ Asante kwa kufatilia story hii, tafadhali soma sehemu iliyopita ili ufurahie hii sehemu zaidi….. ENDELEA...... Siku iliyofata asubuhi na mapema Afande aliingia ndani ya Selo. "Aya nyie watatu mnaopenda kufunga tokeni nje!" aliongea akimaanisha mimi, Asha pamoja na Tabu. Tulisimama na kufanya kama alivyotuambia huku tukiwa na maswali kama yote, Asha alisogea na kuniuliza kwa sauti ya chini. "Au tayari wameshaujua mchezo wetu!?" "Asha mimi sijui" nilimjibu lakini Tabu alikuwa kimya mda huo. Baadae pia kuna wafungwa wengine wawili walitolewa nje ya selo kama tulivyotolewa sisi. Afande alitusogelea na kutuambia tutembee kuelekea
No comments:
Post a Comment