
Story………………..MAPENZI NDANI YA GEREZA (09) ?? WhatsApp……...0613083801 Umri………………..18+ Asante kwa kufatilia story hii, tafadhali soma sehemu iliyopita ili ufurahie hii sehemu zaidi…. ENDELEA...... Afande alishuka haraka kitandani na kuvaa vizuri nguo zake na mimi nililala kitandani vizuri na kujifunika blacket. Kitasa cha mlango kabra hakijafunguliwa Afande alikuwa wa kwanza kuufungua mlango na ndipo Afande wa kike alipoingia ndani akiwa pamoja na Nesi. "Afande kumbe umo humu!?" "Ndio Afande, nilikuwa napita kukagua nikaona nipite na humu!" Afande alijitetea na baadae aliondoka. Afande wa kike alisogea kitandani nilipokuwa nimelala na kuitazama pingu niliyokuwa nimefungwa kwenye mkono wangu. "Kuwa naye makini huyu Nesi!"
No comments:
Post a Comment