MAPENZI NDANI YA GEREZA (03) ?? Umri………………..18+

MAPENZI NDANI YA GEREZA (03) ?? Umri………………..18+

Story………………..MAPENZI NDANI YA GEREZA (03) ?? Umri………………..18+ Asante kwa kufatilia story hii, tafadhali soma sehemu iliyopita ili ufurahie hii sehemu zaidi… ENDELEA........ Baadhi ya wafungwa walikuwa wakinitazama baada ya kuongeleshwa na Afande wa kiume na binti anayependa kukaa kimya mda wote alinisogelea kwa mara nyingine na kuniambia. "Jiandae tena kama kakuongelesha huyo basi lazima utampa utamu utake usitake!" "Mmmh, unaweza kuniambia jina lako!?" "Naitwa Asha" Alinijibu kwa ufupi na kuondoka. Sikuwa na hamu kabisa kwa kile alichoniambia na hata hamu ya chakula sikuwa nayo ila kwakuwa nilikuwa gerezani ilinibidi nikachukue chakula na kwenda kuungana na Asha aliyekuwa amekaa peke yake.

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...