MAPENZI NDANI YA GEREZA (02) ?? Umri………………..18+

MAPENZI NDANI YA GEREZA (02) ?? Umri………………..18+

Story………………..MAPENZI NDANI YA GEREZA (02) ?? Umri………………..18+ Asante kwa kufatilia story hii, tafadhali soma sehemu iliyopita ili ufurahie hii sehemu zaidi…. ENDELEA...... Monica alinipiga kibao cha nguvu. Baada ya kupigwa kibao nilianza kusikia sauti ya ajabu kwenye sikio langu la kulia. "Chwiiiiiiiiiiii" "Subiri mda ufike utajuta nakwambia" Aliongea na kwenda kukaa pembeni mbali kidogo na mimi. Mimi wakati huo nilikuwa bado nimeshika sikio langu na maumivu yalikuwa yameshaanza kupungua. "Dah, wanandoa tayari mmeanza kugombana siku ya kwanza tu, hii ndoa itadumu kweli!?" mfungwa mmoja aliongea. "Mda ukifika lazima nimpe show ya kibabe leo, atake asitake nitamfuc..k tu" Monica aliongea kwa

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...