
Story………………..MAPENZI NDANI YA GEREZA (01) ?? Umri………………..18+ ANZA NAYO...... Kwa jina Naitwa Dora, Ikiwa ni siku yangu ya kwanza kutumikia kifungo gerezani cha miaka kadhaa kutokana na kosa nililowahi kulifanya la kumpiga mwanamke mwenzangu mpaka kupelekea kwenda kulazwa na baada ya mda kufariki, kiufupi nilifanya kitu cha kijinga sana hiyo siku, yaani mimi Dora niwakumpiga mtu kisa tu nimepata habari anachepuka na mwanaume wangu!?, aaaah! hapana aise nahisi hiyo siku shetani aliniingia mpaka mimi kufanya tulio lile. Nilifanya tukio la kijinga sana hiyo siku. Ngoja niendelee kusimulia tu maana sitaki kulikumbuka tukio hilo tena na kama ningekuwa na uwezo basi
No comments:
Post a Comment