
?MAMA WEEEE UTANICHANA? ???? Sehemu ya kwanza. Oya shoga sikukuu zinakaribia izi unasemaje mipango mapema tu usije ukachina. " Zai sikukuu ndio zinakuja ila mume wangu atajua yeye atafanyaje. " Happy nilikuona mjanja kumbe auna lolote ivi sasa ivi kila kitu umtegemee mume utafanikiwa kweli ndio mwanzo tarehe 25 iyo uje uvae dera la elfu 6 shauri yako na mwaka mpya huo unakuja maisha kujiongeza shoga nakwambia ukweli. " Zai wewe ivi umtegemei mumeo unataka kuniambia?. " Namtegemea ila sio sana kidogo tu kwenye 100 namtegemea 20 imeandikwa amtegemea binadamu mwenzie amelaaniwa hehehehe halooo shoga fungua nati iyo kichwani iliyokaza.
No comments:
Post a Comment