
????MAMA WEEEE UTANICHANA???? ???????????????? Sehemu ya 19..20 ???? mama mdogo wa zai roho ikamuuma akafanya kituko cha aibu sana, Dah yani....???? Alimvuta boss uku anasema kwa hasira, " Tabia gani hii unafanya kwenye nyumba yangu. " Zai akadakia kwa kusema. " Mama mdogo tusamehe tu Sisi ni wanao. " Boss akaona mambo yasiwe mengi akatoka nje na zai akamfata nje sasa mama mdogo wa zai roho inamuuma cha kufanya ana na kule boss akamwambia zai. " Niandikie namba zako hapa nataka kuongea na wewe baadae. " Zai akujiuliza sana kwanini bwana ake namba ana yeye akaandika na kumpa simu tu,
No comments:
Post a Comment