MAMA WEEEE UTANICHANA???? ???????????????? Sehemu ya 18

MAMA WEEEE UTANICHANA???? ????????????????  Sehemu ya 18

????MAMA WEEEE UTANICHANA???? ???????????????? Sehemu ya 18 ???? Alifanya ivi...???? Aliipuliza simu kwa mdomo wake kule zai akawa anasikia upepo tu. " Zai anasema. MPENZI MPENZI MPENZI. " Simu ikakatwa na akamtumia sms pale pale. ( Achana na mume wa mtu) " Boss alishangaa na akamuuliza. " Mbona unamtumia sms ivyo. " Nishakupenda mazima nataka dogo aachie ngazi atoe wazo la kuwa na wewe. ( Upande wa zai analia anatafakari sms) " My ata kama zai namuacha lakini si ivi ghafra nitamuumiza. ( Sasa boss mkojo umemshika akaenda chooni kukojoa hapo mama mdogo wa zai akaandika sms kwa zai kupitia

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...