
????MAMA WEEEE UTANICHANA???? ???????????????? Sehemu ya 16..17 ???? hapo uzarendo ukamshinda mwenyewe akajitoa alipojificha, Dah yani...???? Sasa bwana ake akamuona zai anakuja akampa sigino ya macho mama yake mdogo zai, Na uku bwana ake zai akageuza USO na mama yake mdogo zai akapeleka mdomo sikioni alafu akawa anamwambia, " Baba nakunong'oneza umpende mwanangu kweli kweli usije kumuoa alafu Ukamtesa nakunong'oneza ivi maneno ya kuingie akilini zai nampenda sana mwanangu sawa. ( Sasa zai alisikia yale maneno akasikia raha akawaza ni ujinga aliokuwa anaufikilia ikabidi amwite mama yake mdogo) " Odo umenikumbusha mbali sana unampa msisimtizo yani alikuwa apokei simu alinistua
No comments:
Post a Comment