
MAMA MWENYE NYUMBA NO 3..4 AGE 18 ???????????????? Mama mwenye nyumba anakuja mbio mbio na FIMBO nikaona uyu atanipigia sada wangu nikaweka mgongo mimi yani kama FIMBO inikute mimi nilipogeuza mgongo mama mwenye nyumba akasema Joseph nisamehe uyu binti kafanana na mtoto wa dada yangu anaitwa mwajuma anasoma kidato cha tatu ndio maana umeniona nimekuja na bakora ivi nilitaka kumchampa kisawa yani angenikoma. " mimi sikumjibu nikamchukua sada nikaingia nae chumbani namwambia sada kwanini umenitesa sana?? " sada akaniambia sasa Joseph unalalamika nini wakati tunda lipo kwako uchague mwenyewe ule na maganda au ulimenye. " maneno ya sada yakainua mpini
No comments:
Post a Comment