NASEMA KWA MAMA* 1-----2

NASEMA KWA MAMA* 1-----2

????NASEMA KWA MAMA* 1-----2 Baada ya mizunguko ya siku nzima kutafuta chumba cha kupanga kwenye mji wa Moshi, nilikata tamaa kabisa na kuridhia kwenda kulala tena logde kwa siku ya tatu. Nilishakata tamaa kabisa kuhusu suala la kupata chumba.. Nilikuwa miongoni mwa waajiriwa wapya kwenye Fani ya Uwalimu ndani mji huo mzuri na uliotulia sana.. Nilipangiwa ualimu wa shule ya Msingi MAWENZI iliyopo Moshi Mjini.. Kwa kipindi hicho vyumba vilikuwa ni adimu sana na baadhi zilizopo zilikuwa za gharama kubwa ambazo nisingeweza kumudu kwasababu ndio kwanza nilikuwa naenda kuanza kazi... Baada ya mizunguko ya masaa kama sita kwa siku ya

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...