
KWANINI NISIWAPE WAKATI HAWAONDOKI NACHO MTUNZI : ZAMRATA MBWANA EPISODE 1 ?Naitwa Mariamu mimi ni mtoto wa kwanza kuzaliwa kati ya watoto wa tatu wanaonifatia wote wakiume Baba na Mama yangu walinishindwa kwasababu ya tabia yangu ya kugawa kitumbua nilikuwa nawabadilisha kama nguo kwanini niogope wakati hawaondoki nacho unakula kisha unaenda sisikii siambiwi hivyo wazazi wangu waliona ni kheri wanipeleke kwa Bibi yangu mkoani Iringa Maisha ya Iringa yaliendelea nilipata tabu sikuwa na Mwanaume wa kula kitumbua si unajua ugeni huku Iringa upwilu ndo ulikuwa umenijaa siku iyo Bibi Bibi alinituma kwa Rafiki yake Bibi Shani nikamchukulie Mboga za Majani
No comments:
Post a Comment