?KITUMBUA CHA PACHA ?EPISODE 1

?KITUMBUA CHA PACHA  ?EPISODE 1

?KITUMBUA CHA PACHA ?EPISODE 1 ?Hadithi yetu inaanzia ndani ya jumba moja kali na zuri kulikuwa kuna mwanaume anakunywa kinywaji jina lake ni Rashidi alikuwa kavalia miwani ya tinted huku akipiga fundo la juuisi huku akiangalia baadhi ya video huko tiktok lakini simu yake iliita n aliipokea kwa haraka ?"hallo mama" ?"hallo nwanangu hujambo" ?"sijambo shikamoo mama yangu" ?"marhaba, mwanangu uko mza " ?"ndiyo mama mimi mzm nambie" ?"mwanangu nataka uoe sasa utupe wajukuu" ?"sawa mama nitakuletea mkwe ambaye utampenda sana " ?"mama alicheka na kusema umri unaenda " ?Basi walizungumza lakini maada kubwa ilikuwa hiyo basi mwishowe walilimaliza hilo

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...