NASEMA KWA MAMA SEHEMU YA 33, 34 & 35

NASEMA KWA MAMA SEHEMU YA 33, 34 & 35

????NASEMA KWA MAMA Razac alikuwa ndio anaamka kutoka kwenye dimbwi la usingizi.. Alimtazama mpenzi wake na kumwambia.. "" "" Usijali baby utakuwa sawa tu.... Aliongea Razac... Razac aliamka na kutoka njee kumtafutia mpenzi wake dawa na baada ya dakika chache tu alirudi na kumpa ameze.... Dayana alimeza ile dawa na baada ya dakika chache alianza kujisikia sawa... Alihisi kama ganzi fulani iliyozuia asipate tene maumivu... Dayana aliamka na kwenda kuoga na kujisaidia kisha kurudi kitandani na kubadili mashuka.. Alibadili nguo za nadani na kujilaza kitandani.. Razac na mariana walikuwa wamekaa tu kwenye kochi wanapiga story wakati mpenzi wake anaweka vizuri

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...