
DO YOU LOVE ME 18 (S2) IF THAT, SHOW ME A RIGHT WAY Haraka sana nilimuambia Dereva Taxi kughairisha safari, atupeleke nyumbani kwetu. Rola alinielewa na tulirudi hadi nyumbani, tulipoingia ndani tulikuta mwili wa Rely ukiwa unaning’inia katika kitanzi. Alikwisha jinyonga. Ukiniuliza, upi ulikuwa wakati mgumu kwako katika maisha yako yote? Basi nitakutajia ni hii siku ambayo nilishuhudia mwili wa Rely ukining’inia. Ulikuwa ni wakati ambao siwezi kuusimulia mara mbili mbili lakini wajuzi wa mambo wanadai kuwa licha ya ‘depression’ yaani msongo wa mawazo ambao Rely alikuwa nao. Lakini pia nyuma yake kuna karma ambayo ilitengenezwa na wazazi wake. Lile
No comments:
Post a Comment