DOLLAR: ( DAKTARI WA HUBA ) Sehemu ya Kwanza Mtunzi: Layman Donsue

DOLLAR: ( DAKTARI WA HUBA ) Sehemu ya Kwanza Mtunzi: Layman Donsue

DOLLAR: ( DAKTARI WA HUBA ) Sehemu ya Kwanza Mtunzi: Layman Donsue Kwenye Chuo Kikuu cha Uchokozi na Mizinguo, tulikuwa na wanafunzi wa aina zote wenye akili kama ya Einstein na wengine waliokuja chuoni kwa mikwala ya wazazi, si kwa mapenzi ya elimu. Lakini kati ya hao wote, alikuwepo binti mmoja aliyeweza kuyachanganya maisha ya watu chuoni humo kwa urembo wake, ucheshi wake, na kile alichokiita "daktari wa huba" aliitwa Dollar. Dollar halikuwa jina lake halisi. Jina lake halisi lilikuwa Scolastica Kalunde, lakini nani angetamka hilo? Alipoingia chuoni mwaka wa kwanza, aliamua kujibatiza jina la “Dollar” kwa sababu aliamini anathamani

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...