
KIJANA WA HOVYO Mtunzi matunu ngolonje SEHEMU YA TATU " beby eti huyo kijana una mjuwa " ndio ni lafiki wa kaka yangu mala nyingi huwa wanakuja nyumbani na ndugu yake huyo wanapiga story kisha wanaondoka " mpenzi wangu ngoja nikwambie ukweli huyo kijana ni mwizi kupita kuasi yani ni muizi sijui nikwambiaje kwaiyo akija nyumbani kwenu jitahidi kuwa makini Nilitamani nicheki yani baba yangu wananiita mimi mwizi kwa sababu ya mwanamke Dar niliibamisha kichwa changu chini kisha nikaendelea kuchati na baba " kumbe beby mh mimi nilikuwa sijui maana alikuwa anakuja mala nyingi na dada yake na siku nyingi
No comments:
Post a Comment