
KIJANA WA HOVYO Mtunzi matunu ngolonje SEHEMU YA PILI " mh chumba changu kina giza kwaiyo huwezi kuniona " kwa nini sasa mtoto mzuli kama wewe nalala vipi kwenye chumba cha giza " chumba changu kilikuwa kina mwanga sasa leo swichi ya ndani kwangu ni mbovu kwaiyo ndio maana kuna giza Basi baba pale aliendelea kupagawa na picha za mtu mwengine sasa nikiwa nachati na baba nikaona kwa nini nisimchokoze na dada " mambo Ulikuwa ni ujumbe mfupi nilio mtumia dada dada nae aliangalia alie tuma ujumbe ule ni nani lakini hakuweza kumjuwa " poa nani " ni mimi jamani
No comments:
Post a Comment