KIJANA WA HOVYO SEHEMU YA KWANZA Anza nayo Kwa jina naitwa twahilu kuna

KIJANA WA HOVYO SEHEMU YA KWANZA  Anza nayo Kwa jina naitwa twahilu kuna

KIJANA WA HOVYO SEHEMU YA KWANZA Anza nayo Kwa jina naitwa twahilu kuna jambo moja niliwahi kulifanya yani mpaka hii leo nabaki nacheka mwenyewe Mimi ni mtoto wa pili kwenye familia ya watoto wawili wakwanza alikuwa ni dada yangu ambae aliitwa jovita Tuliishi na baba tuu toka mama alipo faliki baba yetu hakutaka kuoa mwanamke mwengine kwa kuhofia kwamba huwenda wanae wakapata mateso Kwahiyo mpaka tunakuwa watu wazima tulikuwa na baba yetu nae aliupenda na kutujalia lakini changamoto ya baba japo alikataa kuoa lakini alikuwa anapenda mapinti wadogo Yani alikuwa anapenda vibinti umli wa mwanae ilikuwa hivyo sasa siku moja

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...