
WAKUBWA TU INGIZA YOTE CHITARAH CHITARAH YOUTUBE-SIMULIZI ARENA SEHEMU YA KWANZA "Chitara,we chitara,sijui atakuwa wapi?" Ilikuwa ni sauti ya mwanamke iliyokuwa inahita nje ya nyumba.mwanamke huyo alikuwa anapaza sauti kumuhita mtu anayefahamika kwa jina la chitara.Alikuwa ameshaita kwa muda Sasa bila ya kupata majibu.Aliamua kukaa chini pembezeni mwa mlango huku akionekana kusonya. Ila wakati amekaa pale alisikia mlango ukifunguliwa na ndani alitoka mvulana wa miaka kumi na nane,ila ukimuangalia mvulana huyo unaweza kusema ni mtoto kutokana na umbo lake dogo alilokuwa nalo,kingine kilichofanya aonekane mtoto ni ile sura yake ya kuchekesha,sura iliyokuwa na macho makubwa na masikio yaliyosimama Kama sungura.Hakuwa
No comments:
Post a Comment