Shemeji Ingiza Pole Pole Sehemu Ya Kwanza (1)

Shemeji Ingiza Pole Pole Sehemu Ya Kwanza (1)

Shemeji Ingiza Pole Pole IMEANDIKWA NA : HANS CHARLZ Sehemu Ya Kwanza (1) Naitwa Isabela ni mzaliwa katika wilaya ya kwimba mkoani Mwanza nilizaliwa mwaka 1987 katika hospitali ya rufahaa bugando. Katika Familia yangu tumezaliwa watoto Wa wili Mimi pamoja na kaka yangu Gabriel na pia wazazi wetu walitulea kwa misingi ya dini na pia wazazi wangu na sisi kwa ujumla tuliishi kwa kutegemea kilimo. Hatukufanikiwa kuishi na wazazi wote kwani mzazi mmoja akitanguria mbele za haki R I P (BABA) mwaka 1999 kipindi hicho sito kisahau kwani baba alitutoka kwenye mazingira ya kututatanisha siku hiyo ilikuwa jumapili asubuhi na

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...