
DOZI NI SAA 7:00 MCHANA 05 Ilipoishia.... Ulianguka na hilo tatizo limekupata lini la kuanguka Martha?"aliuliza kwa mara nyingine. Wote tuliangaliana na tusijue cha kusema mbele ya mama mkwe wangu... ENDELEA NAYO....... Wote tuliangaliana na tusijue cha kusem a mbele ya mama mkwe wangu. "Mama ni tatizo dogo tu haina haja ya kuwa na wasiwasi",Martha aliongea. "Tatizo dogo??,uanguke na uanze kutetemeka alafu unasema tatizo dogo kama umeamua kunificha mimi mama yako ni sawa",Mama mkwe aliongea na kuamua kuondoka na kutuacha pale mimi na mke wangu, sasa lawama zikahamia kwangu. "Oscar unaona mpaka leo imefikia hatua ya kumdanganya mama yangu, nimekupa
No comments:
Post a Comment