DOZI NI SAA 7:00 MCHANA 04

DOZI NI SAA 7:00 MCHANA 04

DOZI NI SAA 7:00 MCHANA 04 Ilipoishia.... Mwanangu mbona umezubaa kuna tatizo huko nyumbani" "Heee unasemaa",nilijikuta nikisindwa kuongea vizuri mbele ya mama yake na Martha...... ENDELEA NAYOOOOOO.. "Unatatizo gani kijana mbona kama haupo sawa", Mama mkwe aliongea hapo ilibidi nitumie akili zangu za kuzaliwa. "Mama kiukweli nina tatizo, boss ameniambia niende kazini sasa ivi na niwahi ndio mana unaniona kwenye hii hali" "Ungesema mwanangu aya nenda ukifika nyumbani umtarifu binti yangu Martha anitafute sawa" "Aya mama "Nilikuwa namjibu huku nikiita usafiri wa pikipiki kwa ajili ya kuwahi nyumbani kwenda kumpa dozi mke wangu. Ndani ya dekika 7 nilikuwa tayali nimeshafika

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...