
DOZI NI SAA 7:00 MCHANA 03 "Oscar kamwambie huyo doctor wako akupe dawa haraka sana siwezi kuishi kwenye hii hali",Martha aliongea. "Lakini mke wangu..... ENDELEA NAYOO.. "Lakini mke wangu tulia kwanza nikupe habari njema",mawazo yetu yalikuwa haya fanani ata kidogo,mke wangu yeye alikuwa anataka arudi kwenye hali yake alafu mimi nilikuwa nataka aendelee kuwa na utamu uleule nilichofanya niliamua kumtuliza Martha baada ya kuona amepandisha hasira zake. Palepale simu iliita ikabidi nipokee mbele ya mke wangu, "biashara gani tunayofanyiana Oscar, nyumba imepatikana lakini umeondoka bira kunipa tarifa zozote zile", alikuwa ni dalali niliyemwacha ili nimuwahi mke wangu. "nilipata tatizo dalali
No comments:
Post a Comment