
DO YOU LOVE ME 15 (S2) WANTED AGAIN Hussein alitoka mpaka kwa mwanasheria lakini hakumkuta. Mda huo pia Rola alitoka pale sebleni akaenda kwenye vitu vya Hussein na kuanza kutafta hiyo bahasha aliitafta sana lakin kwa bahati nzuri aliipata akaichukua na kwenda kuiweka chumbani kwa Thelesia. "Naomba ukae na hii, najua atakua ameenda huko kwa Mr Michael lakin hatompata." Alisema Rola akimaanisha kwamba anajua Mr Michael hayupo kule na bila shaka yeye ndo anajua alipo. "Usijali, hapo ulipoiweka hakuna mtu ataweza kujua isipokua Mimi na wewe tu, ila nakushauri ukamshtaki maana anaweza kukuua ata wewe." "Hawezi, najua cha kumfanya hawezi
No comments:
Post a Comment