DO YOU LOVE ME 14 (S2)

DO YOU LOVE ME 14 (S2)

DO YOU LOVE ME 14 (S2) LAWYER'S GAME Baada ya Hussein kutoka alielekea kwenye gari yake akaingia na kuchukua sim yake kisha akachezea kidogo na kuweka sikioni baada ya sekunde chache ilipokelewa na mazungumzo yakaendelea. "Upo wapi?" "Nipo ofisini kwangu, kuna shida?" Sauti upande wa pili ilisikika. "Nakuja sasa hivi." Aliongea Hussein na kukata sim kisha aliwasha gari na kuondoka. Huku ndani walibaki Rola na Thelesia ambao ni kwamba kila mmoja alikua na mambo yake. Rola alikua bize na simu yake huku Thelesia akiwa bize kuandaa chakula. Dakika moja ilimtosha Thelesia kutoka kule jikoni na kumfata Rola pale seblen. "Mmh

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...