
DO YOU LOVE ME 13 ZHIGZAG Tulikaa pale kwa mda kidogo, kuna wakati nilitoka nje nkampisha Thelesia ampe chakula Rola na badae nilirudi wodini kutaka kujua hali ya Rola. "Unajiskiaje?" Nilimuuliza. "Kichwa kinaniuma sana, nahisi kuchoka kwa kweli." "Pole utakua sawa." "Rely umemuacha vipi? Na amejua kwamba umekuja huku? kwasababu sidhani kama akijua kama umekuja huku atafurahi." "Usijali Rola kila kitu kipo sawa. Hata hivyo nilikua tu na wasi wasi, nilitaka kujua hali yako na kwakuwa umeshakua sawa sina budi kuwaacha." Nilijibu huku nikisimama kwenye kiti nilichokua nimekaaa. "Mbona mapema sana Rahim?" Aliuliza Thelesia. "Nashkuru sana kwa moyo wako na
No comments:
Post a Comment