DO YOU LOVE ME 12 (S2)

DO YOU LOVE ME 12 (S2)

DO YOU LOVE ME 12 (S2) TAKE ME BACK Baada ya kumpiga Rely kila kibao ni kama vile nilikua nimeyaamsha mashetani yake kwani baada ya zile kelele aliamka pale kitandani na bila kuongea kitu alianza kupark vitu vyake. "Unafanya nini sasa?" Nilimuuliza. "Niache Rahim, niache na usiniambie chochote." Alinijibu huku akiendelea kupanga vitu vyake huku akiwa analia. "Sasa unapanga hivyo vitu vyako unataka kwenda wapi usiku huu? Ebu acha mara moja hicho unachokifanya!" Nilimwambia vile nikiiamani ataacha lakini ni kama nilikua nampigia mbuzi gitaa. Aliendelea kutoa nguo zake kwenye kabati na kutia kwenye begi. Nilichokifanya ni kutoka chumban mpaka seblen,

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...