DO YOU LOVE ME 11 (S2)

DO YOU LOVE ME 11 (S2)

DO YOU LOVE ME 11 (S2) SHE LIED ME Thelesia ambaye ni mfanyakazi wa Rola pamoja na mlinzi walishirikiana kumpeleka Rola hospital, na walipofika Rola alichukuliwa na kuanza kupewa matibabu. Tuachane na Rola, turudi keangu sasa. Ilikuwa hivi kuhusu Rely; Maeneo ya hotel moja yenye hadhi yake ya nyota tano, anaonekana Rely akiwa na mpenzi wake Calvin tena wakiwa kwenye furaha sana kwani walikua wanapiga story huku wakicheka na kuenjoy. "Mpenzi, nilikua nasubiri utoke Kenya nije nikupe zawadi yako" "Zawadi?? Ni nini jamani nipe basi sasa hivi hiyo zawadi." "Unadhani nakupa mkononi?" Aliuliza Rely huku akicheka. "Sasa unanipa wapi?" "Ni

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...