DO YOU LOVE ME 10 (S2)

DO YOU LOVE ME 10 (S2)

DO YOU LOVE ME 10 (S2) UNTOLD STORY Baada ya Rola kumuuliza Hussein lile swali, Hussein hakuwa tayari kujibu na badala yake alisimama na kuelekea chumbani. Rola alibaki akimuangalia asijue shida ni nini? Hakuona sababu ya kuendeleaa kubaki pale yeye mwenyewe hivyo na yeye akaamua kumfata huko huko. "Hii tabia imeanza lini Hussein??" "Kwani unataka kujua nini wewe??" "Nataka kujua una mwanamke mwingine tofauti na mimi??" "Ndiyo ninae!" Hussein alijibu lile swali na kumuangalia Rola ambaye alikua kama vile amepigwa na shoti ya umeme kwasababu alijikuta anakosa nguvu na kubaki ameganda kama sanamu la posta. Hussein hakutaka kuongea tena baada

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...