DO YOU LOVE ME 09 (S2)

DO YOU LOVE ME 09 (S2)

DO YOU LOVE ME 09 (S2) ALWAYS MEN ARE CHEATER Tulielekeaa chumban kwa ajili ya kupumzika lakin ukweli sikuwa sawa hata kidogo. Kitu ambacho nilikua nawaza akilini ni kumtafuta Rola tu niongee nae tu maana yeye ndio alikua mwanamke pekee ninaempenda kwa dhati japo kuna mda alikengeuka lakin nilijiambia kwamba huwenda zile zilikua ni hasira tu. Niliwaza piaa siku ambayo Rely ataondoka mazima kwenye maisha yangu itakuaje?? Maana pamoja na kwamba nampendaa sana ndugu yake lakin ahta yeye pia nilikuwa nimemzoea, nilijikuta naumia sana na kubaki njia panda huku swala la ujauzito wa Rely pia likizidi kunipa 'headache' kwasababu sikua

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...