
DO YOU LOVE ME 07 (S2) CHEATING MESSAGE Baada ya Rely kuwa amepoteza faham ilibdi wamchukue na kwenda kumpa huduma ya kwanza ambayo haikumchukua mda mrefu akawa ameamka lakin alikua na majeraha madogo sehem ya paji la uso. Baada tu ya kuamka alianza kulia huku akilalamika kwanin Mungu kamchukua mama yake ingali yeye bado anamhitaji. Hakukuwa na namna zaidi ya kuchukua mwili wa Mama Rely na kwenda kuupumzisha kwenye nyumba yake ya milele. Ulikuwa ni wakati mgumu kwa Rely kwani hakuwa wa kula wala kunywa. Aliona dunia nzima ni kama imemsaliti na kumuacha peke yake. Nilijitahidi sana kumtia moyo na
No comments:
Post a Comment